Mji wa Babati unatarajia kuwa safi baada ya kupatikana kwa gari la taka lililokuwa likiitajika na wananchi wa Babati mjini Mkoani Manyara.
Awali wakazi wa mji wa Babati walikuwa wakisubiria gari la taka wiki moja hadi mbili hali iliyokuwa ikisababisha uchafu bmwingi kuzagaa katika maeneo mengi mjini hapa.

Gari la kisasa la taka mjini Babati. |
Post a Comment
karibu kwa maoni