
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF, Jamali Malinzi ameandika ujumbe huo ambao umetoka kwa Rais wa Fifa kwenda kwa Yanga SC akisema: “Rais wa FIFA Bw Gianni Infantino leo ametuma salam za pongezi kwa klabu ya Yanga kwa kushinda ubingwa wa Ligi Kuu.Ameitakia kheri Yanga.” – Malinzi.

Post a Comment
karibu kwa maoni