Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri
wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo May
24, 2017.
Taarifa
iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa
nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Post a Comment
karibu kwa maoni