|
Mkurugenzi wa TOC Henry Tandau akitoa mafunzo kwa wadau wa michezo Manyara,ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Babati.picha na John Walter |
Mafunzo wa Usimamizi na Uongozi wa Michezo ambayo yanatolewa na Kamati Ya Olimpiki Tanzania yamemalizika Wilayani Babati Mkoani Manyara chini Ya mkufunzi Henry Tandau ambae ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ya Olimpiki Tanzania na Mama Irine Mwasanga ambae ni Mkurugenzi wa Mafunzo wa Kamati Ya Olimpiki Tanzania.
Mafunzo hayo yamefanyika Siku Tano kuanzia tarehe 15 mei hadi 19 mei huku ikizishirisha watu 30,ambao ni wadau wa soka ,Maafisa utamaduni,waalimu na waandishi wa Habari kutoka katika Wilaya zote za Mkoa wa Manyara .
|
Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ya Olimpiki Tanzania na Mama Irine Mwasanga ambae ni Mkurugenzi wa Mafunzo wa Kamati Ya Olimpiki Tanzania akisisitiza jambo katika mafunzo hayo.Picha na John Walter |
Mwandishi wa Blog hii alifafanya mahojiano na Baadhi Ya watu waliomaliza Mafunzo ambao wameonesha kuridhika na Mafunzo hayo huku wakiahd kuwa mabalozi wazur katika Michezo
|
Mkuu wa mkoa wa Manyara Joel Bendera akizungumza na washiriki katika Mafunzo hayo ya uongozi na utawala bora katika Michezo. |
Post a Comment
karibu kwa maoni