0
Boys kitted out in summer skirtsTakriban wavulana 30 wamevaa minisketi kuenda shuleni wakiandamana kupinga, baada ya kuambiwa kuwa hakuruhusiwa kuvaa kaptula.
Wanafunzi hao walikuwa wameomba ruhusa ya kubadilisha sare zao kutokana na kupanda kwa viwango vya joto.
Mwalimu mkuu wa shule, Aimee Mitchel alisema kuwa kaptula hazikuwa kati ya sare za shule.
Wanafunzi walisema kuwa hatua ya kufanya maandanao ilitokea kwa mwalimu mkuu ambaye alikuwa ametoa pendekezo hilo awali, licha ya wanafunzi kusema walihisi hakumaanisha hivyo kasisa.

Post a Comment

karibu kwa maoni

Top