0
Pregnacy 
 Mwalimu Rajab Mourice Ntine  wa shule ya Msingi Ligunga iliyopo katika kijiji cha Ligunga wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumjaza mimba mwanafunzi wake wa darasa la sita  ambae ni Sofia Mitete.

Mwalimu huyo alikamatwa jana Agosti 10,2017 akiwa shuleni baada ya taarifa kusambaa kijijini hapo kuwa kuna mwanafunzi amemjaza mimba hivo baadhi ya watu wakatoa taarifa halmashauri ili akamatwe kabla hajatoroka

Mourice  meingia kwenye "msala" huo ikiwa ana miaka mitatu tu kazini ambapo alipata ajira hiyo mwaka 2014.

Kisheria,ukimpa  mimba mwanafunzi  hukumu yake  ni jela miaka 30.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top