
Breaking news:Taarifa za muda huu zinaeleza kuwa Mtoto mchanga ameokotwa
chooni mitaa ya chuo cha ufundi Manyara veta, Inasadikika ni mwanafunzi
wa VETA kafanya hivyo ila bado hajafahamika.
Wataalam wa afya wameelekea chuoni hapo ili kuweza kubaini aliyetupa kachanga hako.
Mtoto ni mzima na amehifadhiwa katika chumba Maalum cha joto hospitali ya Mji Wa Babati Mrara.
Post a Comment
karibu kwa maoni