0






Mkuu wa mkoa wa Manyara Dk.Joel
Bendera ameahidi kufanikisha ujenzi wa kiwanda uchakachaji madini ya tanzanite
{mererani} ambapo tayari hecta 500 zimeshatengwa kwa ajilli ya ujenzi wa
kiwanda hicho.
Mkuu huyo wa mkoa, ameyasema hayo
kwenye mkutano mkuu wa 10 wa chama cha wakulima ,wafanyabiashara na wenye
viwanda {TCCIA} mkoa wa manyara.
Mbali na hayo , amewahimiza
wafanyakazi na wafanyabiashara kulipa kodi kwa wakati ili kuepuka usumbufu
kutoka kwa mamlaka ya mapato Tanzania {TRA} .
Mkutano mkuu wa chama cha wafanyabiashara
, wakulima na wamiliki wa viwanda [TCCIA] mkoa wa manyara hufanyika kila mwaka
kwa lengo la kujadili maendeleo ya wanachama

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top