Rais wa chama cha mwakili wa Tanganyika [TLS] Tundu lisu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki na mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] amewatolea Uvivu kundi la W.C.B linaloongozwa na Diamond Plutnumz kwa kuandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Twiter.
Home
»
Burudani.
»
Burudani.Sauti
»
Habari moto kitaifa
»
Sanaa
» SEDUCE ME YA ALI KIBA YAMCHANGANYA TUNDU LISSU ......AAMUA KUWACHANA W.C.B.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni