Anaandika Suleimani Ussi kutoka Zanzibar
Kikosi cha timu ya simba kimewasili kisiwan Zanzibar
asubuhi ya leo kwaajili ya kuweka kambi ya kujianda na mchezo wao wa ligi kuu
ya Tanzania bara dhidi ya timu ya Yanaga
kikosi hicho kimekuja na wanachezaji 24
na ndio watakaoshiriki katika mchezo wa tarehe 28 dhidi ya yanaga
akizungumza na kipindi hiki mratibu wa timu ya simba abassi sleiman amesema hajui kama watacheza mchezo wa
kirafiki hapa Zanzibar ….
Kiupande wake nae kocha mpya wa timu ya Simba
Masud Juma Irambona amesema vijana wote 24 wapo vizuri sana isipokua wachache
tu ndio majeruhi na hawakuwasili zanzibar na kilichobaki ni kuanza mazoezi na
amesema amerizishwa sana na kambi ya Zanzibar kwaajili ya maandalizi ya mechi
ya tarehe 28…
Mwenykiti wa kamati ya soka la ufukweni aliy
sharifu adafu amezitaja timu kwa majina zitakazoshiriki katika ligi kuu ya soka
la ufukweni akizungumza na kipindi hiki adofu amesema timu
nyengine kwa mara ya kwanza msimu huu zitatoka katika ligi za vijana na
kushiriki katika ligi ya soka la ufukweni .zaidi adaofu anaeleza zaidi…
Timu ya green quen imeanza mazoezi kwaajili ya
kuchaguliwa kwa wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Zanzibar inatakayoshiriki
katika mashindano ya CECAFA women chamipion inayotarajia kufanyika November
3 hadi
12 mwaka huu na yatafanyika huko Ruwanda ambapo timu ya taifa ya Zanzibar quen itashiriki tumezungumza na kolkipa wa wa gren
qen salma abdallah amesema kiupande wa
mara hii watafanya vizuri katika mashindano hayo …
Afisa Mdhamini Wizara ya
Habari Utalii Utamaduni na Michezo Pemba
Khatib Juma Mjaja amewataka waamuzi
kufuata sheria na Kanuni za
Michezo ili kuepuka malalamiko Viwanjani.yanaojitokeza
Nae katibu wa Zfa
Wilaya ya Chake Chake pemba Suleiman Juma nae
amewataka waamuzi na wachezaji kuwa na nidhamu katika mpira
Post a Comment
karibu kwa maoni