Anaandika Suleimani Ussi kutoka Zanzibar
Mchezaji wa timu ya JKU Amour Janja ambae
amesimamishwa kucheza mpira katika clubu hiyo ya JKU kutokana na utovu wa
nidhamu pia anashikiliwa na jeshi la Polisi
kwa kukamatwa na misokoto ya Bangi.
WALTER HABARI ilimtafuta katibu mkuu
wa michezo wa JKU Saadi Ujudi ili kuweza kulithibitishia hilo na kujua mpka
saiv mchezaji huyo ana hatima gani katika club
ya JKU zaidi katibu saadi alikiri kuwa mchezaji huyo ana makosa mbalimbali.
Chama cha soka Zanzibar kimemsimamisha mchezaji
wa kilimani city Azizi Sheweji kwa muda wa mechi nne kwa kufanya utovu wa
nidhamu katika mchezo waliocheza juzi kati ya timu ya kiliman city dhidi ya
timu ya Black sailors mchezo huo ulipigwa saa8 za mchana pia mwalimu Abrahman
mussa wa kiliman city nae amesimamishwa hadi pale atakapopeleka vyeti vyake vya
ukocha vithibitishwe akitoa tamko hilo katibu wa ZFA taifa Mohd Aliy hilali
teddy amesema ushahidi wote wanao waliofanya pia amesema soka ni nidhamu na sio
kuvunja kanuni.
Post a Comment
karibu kwa maoni