PICHA ZA VURUGU NCHINI KENYA KWENYE UCHAGUZI MITAA YA KIBERA. 12:06:00 PM w 0 Habari moto Kimataifa A+ A- Print Email Polisi nchini Kenya wakijaribu kuzuia Ghasia Picha zimekuwa zikichapishwa zinazoonyesha makabiliano kati ya polisi na waandamanaji kwenye ngome ya upinzani ya Kibera, katika mji mkuu wa Kenya Nairobi. Mfuasi anaeaminika ni wa Chama cha NASA akiwa na Panga.
Post a Comment
karibu kwa maoni