0
Msanii Nasib Abdul maarufu Diamond Platinumz, amedai mahakamani kuwa hana  uwezo wa kumlipa Mwanamitindo Hamisa Mobeto, Sh milioni tano kama
gharama za matunzo ya mtoto kwa mwezi.

Diamond amewasilisha majibu hayo katika Mahakama ya Watoto Kisutu, mbele ya  Hakimu Mkazi Devotha Kisoka baada ya Mobeto kumfungulia kesi ya madai
katika Mahakama hiyo ya watoto akidai mambo mbalimbali ikiwamo matunzo
ya mtoto.
ISHU ZZIMA HII HAPA CHINI.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top