0


Image result for TRA MANYARAMamlaka ya mapato nchini TRA Mkoani Manyara, imewajengea uwezo wafanyabiashara wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro juu ya sheria mpya za kodi mpya zilizopitishwa na Bunge.
Afisa huduma na elimu ya mlipa kodi mkoa wa Manyara Dickodemus Masawe akizungumza na wafanyabiashara hao wa mji mdogo wa mererani wiki iliyopita amesema wametoa elimu hiyo baada ya kutokea kwa mabadiliko ya sheria ya ulipaji kodi Insert.
Kwa upande wa meneja wa TRA mji mdogo wa Mererani wilaya ya Simanjiro Aden Mwakalobo amesema wamejiandaa katikaa kushirikiana na wafanyabiashara wa eneo hilo.
Nae mmoja wa  wafanyabiashara wa piki piki katika mji huo ameeleza kuwa kwa sasa wanakabiliwa na changamoto ya ulipaji kodi kwenye pikipiki wakati wa uuzaji.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top