EAC: Bunge la EALA kujadili umoja wa sarafu
Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki linatarajiwa hivi karibuni kuanza mjadala wa kuwa na sarafu ya pamoja.
Bunge hilo hasa litajadili kuhusu miswada ya taasisi husika ambazo zitasaidia kuwa na sarafu hiyo.
ya Afrika Mashariki na kituo cha taakwimu cha Afrika Mashariki.

Post a Comment
karibu kwa maoni