Dr.Kigwangala: Kwa kuzingatia umuhimu na unyeti wa kazi za Wizara ya Maliasili na
Utalii, Waziri anapewa na Sheria ya Kuhifadhi Wanyamapori, Na 5 ya mwaka
2009, mamlaka ya kuanzisha Jeshi Usu. Tumeamua kujibadilisha sasa
kwenda kuwa Jeshi Usu ili kuongeza tija na ufanisi katika kazi zetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
karibu kwa maoni