Ukifika Mjini Babati mkoani Manyara na unataka eneo zuri kwa ajili ya mapumziko na hewa safi pamoja na burudani fika Manyara Country mtaa wa Hangoni. Ukiwa na familia yako hapa ndio mahali sahihi,michezo yote ya watoto,Swimming Pool ya watu wazima na watoto zote zipo.
Kumbi za sherehe mbalimbali na Night Club.
Kumbi za sherehe mbalimbali na Night Club.
Post a Comment
karibu kwa maoni