Simba inayoongoza ligi kuu kwa jumla ya pointi 29 itashuka dimbani
Jumatatu ya wiki ijayo kupambana na wanankurukumbi Kagera Sugar katika
dimba la Kaitaba Mjini Bukoba.
Simba itakutana na Kagera Sugar katika dimba hilo, huku Kagera Sugar
ikitoka kupoteza mchezo wao dhidi ya Njombe Mji ya mkoani Njombe katika
uwanja wa Sabasaba.
Post a Comment
karibu kwa maoni