Nicodemu Bonifasi alikuwa diwani wa kata kubwa kuliko zote katika jimbo Babati mjini Mkoani Manyara lakini pia alikuwa mwenyekiti wa mtaa wa Ngarenaro. Wakati anakihama chama alichkuwa anakitumikia Chama cha Demokrasia na Maendeleo [CHADEMA] alikuwa katika ziara kwenye kata yake.
Kazungumza mambo mazito msikilize hapa chini.
Kazungumza mambo mazito msikilize hapa chini.
Post a Comment
karibu kwa maoni