
Msanii wa Filamu Bongo, Tausi Mdegela amesema huwa hapendi mwanaume mfupi.
Muigizaji huyo amesema hayo katika segment ya Kikaangoni, EATV. Tausi ameeleza kuwa anampenda mwanaume ambaye ni mrefu.
“Sipendi mwanaume mfupi, mfupi wa nini saa? tukiwa wote wafupi nani atazima taa, nani atafunga mlango?.” amehoji Tausi.
“Napenda mwanaume mrefu mwembamba, sio mnene.” ameongeza.
Katika
hatua nyingine amesema kuwa katika mahusiano huwa haangalii umri bali
anachotaka muhusika awe na malengo ya mbeleni hata kama ni kijana wa
miaka 18.
Post a Comment
karibu kwa maoni