0
Katibu Mwenezi wa CHADEMA wilaya ya Arusha Gabriel Kivuyo amekihama chama hicho kwa madai ya viongozi wake ikiwemo Mbunge kuwadharau pamoja na kitendo cha kutolewa nje kwenye kikao cha Mameya kwa tuhuma za kuwarekodi.

Akizungumza wakati akipokelewa na Katibu wa CCM wilaya Musa Matotoka amesema hata akipata matatizo nakumtafuta Mbunge amekuwa hapatiwi ushirikiano.

Post a Comment

karibu kwa maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top