Mkazi mmoja mkoani Kigoma aliyejulikana kwa jina la
Ndimugwanko Mlovezi anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo kwa tuhuma za
kumpiga mkewe na kumuua.Kamanda Ottieno amesema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamni hapo kesho April 24 kujibu mashtaka yake yanayomkabili.
Post a Comment
karibu kwa maoni