0
Moja ya jambo la kulifahamu leo ni kuhusu Pilipili wengi tunajua ni kiungo kizuri kikitumiwa vizuri lakini kikizidi kumbe huleta madhara.
Wataalamu wamesema, mara mtu anapokula pilipili kali sana na kusikia maumivu makali ya kichwa awahishwe hospitali.
Sababu iliyotajwa ni kuwa maumivu hayo husababishwa na kukaza kwa mishipa inayopeleka damu katika ubongo, tatizo linalojulikana kama Cerebral Vasoconstriction Syndrome (RCSV).
Hayo yamemkuta mtu mmoja katika jiji la New York, Marekani aliyekuwa akishiriki shindano la kula pilipili aina ya Carolina Reaper.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top