Picha hii haina uhusiano na habari hii.
Shule Ya
Msingi Dudumera Yenye Wanafunzi Miatano Iliyopo Katika Kijiji Cha Mawemairo
Kata Ya Magugu Wilayani Babati Mkoani Manyara Ipo Katika Hali Mbaya Ya Kiafya
Kwa Wanafunzi Wake Kutokana Na Ukosefu Wa Vyoo Ambavyo Vina Hatarisha Maisha Ya
Wanafunzi .

Nae Mwalimu
Mkuu Wa Shule Hiyo Bi.Hadija Makoko Amesema Kuwa Vyoo Wanavyo Vitumia Wanafunzi
Wake Siyo Rafiki Na Vyoo Hivyo
Vilijengwa Vya Muda Lakini Mpaka Sasa Havijajengwa Vyoo Rasmi Na Wanafunzi
Wanazidi Kuteseka Kwa Magonjwa Ya Matumbo .

Mkurugenzi
Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Babati
Hamisi Malinga Amesema Kuwa Taarifa Za Ukosefu Wa Choo Katika Shule Hiyo
Anazo Na Anazifanyia Kazi.

Post a Comment
karibu kwa maoni