0
Wafanyabiashara 13  wa  Pombe kali zilizofungashwa katika mifuko ya plastiki maarufu kama viroba mkoani Manyara wamesalimisha zaidi ya katoni 1,540 zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 140.
Wafanyabiashara hao kutoka  wa wilaya ya Hanang’ na Babati Mjini licha ya kusalimisha viroba hivyo kutokana wamesema   imewasababishia hasara kubwa.
Hatua hiyo Imekuja mara baada ya serikali kuanza kupiga marufuku pombe hizo zilizopo katika vifungashio ambazo zimeharibu vijana wengi.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top