0
Image may contain: 2 people, indoorHaya ni maneno aliyoyaandika mbunge wa jimbo la Monduli Mheshimiwa Julius Klanga katika ukurasa wake wa Facebook.

"Haki za watumishi wa nchi hii zimepuuzwa kwa muda mrefu sasa
Madaktari wetu hawalipwi call allowance zao tangu 2015 october
Kama walimu na watumishi wengine hawalipwi stahiki zao malimbikizo yao madaraja yao.
Na stahiki zingine lakini TUCTA na CWT na vyama vingine vya watumishi wa umma viko kimya wakati wanapokea makato toka ktk jasho la wanachama wao.
Je kuna haja ya kuendelea kuwa na uwanachama wa vyama hivi'.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top