0
Ligi ya mkoa wa Manyara ligi daraja la tatu kuanza kutimua vumbi rasmi kesho tarehe 5.  March.2018 ambapo ratiba inaonyesha kuwa mechi ya ufunguzi anakutana Gwadaati dhidi ya Babati Mashujaa [BM FC[ majira ya saa 10:00 jioni.
Kwa mujibu wa ratiba iliyyotolewa na kamati ya mashindano ya Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Manyara [MARFA] chini ya  katibu wa kamati ya Mashindano Yusufu Mdoe Sogora  inaonyesha michezo yote itapigwa katika uwanja wa chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi [VETA] Nangwa wilaya ya Hanang Mkoani hapa .
Siku ya Jumanne tarehe 5.3.2018 utapigwa mchezo kundi B kati ya Nangwa Fc dhidi ya Red Star Fc na Jumatano tarehe 6.3.2018 ni Magugu Fc dhidi ya Fire Stone  saa 10:00 Jioni Fc huku kutoka kundi A Nangwa akiutana na Red Star Fc 8:00 mchana.
Michezo mingine  na makundi yao katika mabano ni kama ifuatavyo:
7.3.2018 Usalama Fc VS Halmashauri Fc [B] 10:00 Jioni
7.3.2018 Morning Fc VS GWADAATI Fc [A] 10:00 Jioni
8.3.2018 Mrara Fc VS Nangwa Fc [B] 8:00 Mchana
8.3.2018 Bm Fc VS Magugu Rangers [A] 10:00 Jioni
9.3.2018 Red Star VS Usalama Fc [B] 8:00 Mchana
9.3.2018 Fire Stone VS Morning Star [A] 8:00 Mchana
10.3.2018 Halmashauri Fc VS Nangwa Fc [B] 10:00 Jioni
10.3.2018 Magugu Rangers VS Gwadaati Fc [A] 8:00 Mchana
11.3.2018 Red Star VS Mrara Fc [B] 10:00 Jioni
11.3.2018  Fire Stone VS Bm Fc [A] 8:00 Mchana
12.3.2018 Red Star  Fc VS Bm Fc [A] 8:00 Mchana
12.3.2018 Morning Star VS Bm Fc [B] 8:00 Mchana
13.3.2018 Halmashauri VS Mrara Fc [B] 10:00 Jioni
14.3.2018 Nangwa VS Usalama Fc [B] 10:00 Jioni
14.3.2018 Magugu Rangers VS Morning Star [A] 8:00 Mchana
15.3.2018 Gwadaati Fc VS Fire Stone Fc [A] 10:00 Jioni
16.3.2018Usalama Fc VS Mrara Fc [B] 10:00 Jioni
Aidha kilakundi litatoa timu tatu ambazo ni timu sita bora na ratiba ya timu sita itatolewa baada ya michezo ya kundi A na B.
NB:Kikao cha maandalizi kitakuwa kila siku saa 4:00 asubuhi.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top