0
Image result for BAWACHA MANYARA
Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani March 8.2018 Baraza la wanawake wa Chadema [BAWACHA] Mkoa wa  Manyara limesema katika kuazimisha siku hiyo watawatembelea wagojwa katika hospitali ya wilaya ya Mbulu na kufanya shughuli mbalo mbali za kijamii katika wilaya hiyo.

BAWACHA imewataka wanawake waliopo katika wilaya ya Mbulu bila kujali itikadi za chama chake wajitokeze katika kusheherekea siku hiyo muhimu kwao.

Mmoja wa viongozi wa BAWACHA ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Babati mjini Mheshimiwa Paulina Gekul amesema kauli mbiu ya mwaka huu BAWACHA mkoa wa Manyara Tunahitaji Haki na Amani.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top