0
Kutoka Ujerumani mwanaume mmoja amehukumiwa miaka mitano na nusu jela baada ya kukutwa na hatia ya kulipa ili kutazama watoto wakibakwa huku wakirekodiwa video live.
Mwendesha Mashtaka wa kesi hiyo alieleza kuwa kesi za namna hiyo zimekuwa zikiongezeka huku akieleza kuwa serikali ya Ufilipino imeweka adhabu kali dhidi ya vitendo hivyo.
Mwanaume huyo aliyejulikana kwa jina la Martin R. mwenye umri wa miaka 48 amekiri kufanya kitendo hicho kwa mfululizo wa miaka miwili.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top