0
Kutoka Brazil, takribani wafungwa 19 na askari mmoja wa gereza la Santa Izabel Prison Complex wameuawa katika jaribio la wafungwa hao kutoroka gerezani.
Inaripotiwa kuwa wafungwa hao waliotaka kutoroka walikuwa wanasaidiwa na kikundi kilichokuwa na silaha nje ya gereza hilo kilichotumia vilipuzi kubomoa ukuta mmoja wapo wa gereza.
Vurugu hizo ambazo zimetokea katika Mji wa Belem zimesababisha vifo hivyo huku askari wengine wanne wakijeruhiwa na moja akijeruhiwa vibaya sana.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top