0
Mratibu wa utafiti wa haraka wa matatizo yanayoleta upofu unaoepukika Dkt. GEORGE KABONA  amesema hayo wakati akitangaza matokeo ya utafiti uliofanywa katika vijiji 60 vilivyopo mkoani MOROGORO.

Mratibu wa magonjwa ya macho katika wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsi wazee na watoto Dr NKUNDWE MWAKYUSA  amesema watanzania takribani asilimia moja  wana upofu na asilimia mbili nukta moja  wana  uoni hafifu.

Katibu tawala mkoa wa Morogoro mhandisi Dr JOHN NDUNGURU amezishukuru taasisi za Eye Care Foundation na Sight savers kwa juhudi zao za kusaidia katika kupambana na magonjwa ya macho huku akiwataka wananchi kujitokeza kwenda kupima ili waweze kutibiwa haraka.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top