Hii ndio zahanati Kijiji cha Kiongozi inayotumika sasa. |
Zahanati ya zamani ambayo inatumika mpaka sasa katika kijiji cha Kiongozi Halmashauri ya mji wa Babati. |
Upande wa Nyuma kama unavyonekana. |
Jengo hili la zahanati katika kijiji cha Kiongozi linaendelea kujengwa na lilizwekwa jiwe la msingi na kiongozi wa mbio za mwenge ndg Juma Khatibu miaka miwili iliyopita.
Ikikamilika itwasaidia wanakijiji wa Kiongozi kupata huduma za afya karibu na kwa uhakika. |
Post a Comment
karibu kwa maoni