0

Kuna michezo mingi duniani lakini huu wa kucheza na ng’ombe ambao ni maarufu nchini Hispania, hakika ni hatari.

Mcheza na ng’ombe kinda Daniel García Navarrete amekumbana na dhahama kubwa baada ya pembe la ng’ombe mwenye uzito wa takribani tani moja, kumpiga pembe la shingo.

Tukio hilo lilitokea Las Ventas, mjini Madrid na wachezaji wengine walilazimika kumuokoa  Navarrete ambaye alikuwa akining’ng’nia katika pembe la ng’ombe huyo huku akitokwa damu nyingi.

Mchezo wa ng’ombe au Bull Fighter ni maarufu sana nchini Hispania. 








Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top