Imekuwa ni kawaida kila mara Rais wa Tanzania John Magufuli kuwapatia watanzania nafasi mbalimbali za uongozi ili nao wajue kuongoza yataka moyo, wapo waliostaafu na wengine wapya wamekabidhiwa madaraka.
Baada ya mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kuwaapisha viongozi wapya amezungumza maneno yenye busara katika kuwajenga viongozi hao na taifa la Tanzania.
Baada ya mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli kuwaapisha viongozi wapya amezungumza maneno yenye busara katika kuwajenga viongozi hao na taifa la Tanzania.
Post a Comment
karibu kwa maoni