0
Image may contain: 1 person, standing, sky, outdoor and nature
Usalama Fc wakiwa katika mazoezi uwanja wa Galapo Parish.

Wakati wakijiandaa kuelekea katika ligi ya Mkoa Usalama Fc pamoja na Galapo Parish zimeendelea kujifua ili kujiweka sawa.
Leo Galapo Paris Fc waliwaalika Usalama Fc katika uwanja wao wa nyumbani wanaoutumia kwa mazoezi Ccm Galapo ili kupimana nguvu.
Mchezo huo uliomalizika jioni hii Gallapo Parish walionekana kuzidiwa na Usalama Fc baada ya kuchapwa bao 1-0.

Post a Comment

karibu kwa maoni

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

 
Top