
Umeanza kufuga sungura na unakabiliwa na changamoto mbalimbali za ulishaji na magonjwa?
Au unataka kuanza ufugaji wa sungura na hujui jinsi ya kufanya?
Kubwa zaidi ni hili; unataka kufuga au unafuga, lakini HUJUI WAPI PA KULIPATA SOKO LA SUNGURA?
Yawezekana
ulipata mafunzo, ukalipa fedha nyingi kununua mabanda, mbegu na
chakula, lakini waliokupatia mafunzo wakati huo wamekukimbia na hata
unapowatafuta ili wakusaidia changamoto zinazokukabili hawaonekani.
Yawezekana pia umeingia kwenye mikataba mbalimbali na baadhi ya watu waliokuaminisha kwamba wao wanalo soko la sungura -
wengine wakakwambia wanasafirisha kupeleka Arabuni au Kenya - lakini
mpaka sasa hawakusaidii lolote japo walikuahidi watakupatia na wataalam
wa kuwahudumia wanapoumwa.
Umechanganyikiwa
kwa kuona kwamba umepoteza muda na rasilimali zako kwenye ujasiriamali
ambao waliokufundisha wamekukimbia na ukiwapigia ama hawapatikani au
wanakujibu kwa ujeuri.
Usijali, hujapotea bado na sasa ondoa hofu kabisa. ANZA MWAKA MPYA KWA FIKRA MPYA ZENYE MAENDELEO!
PIGA NAMBA HII +255 656 331974
ILI KUPATA MWONGOZO HUU kwa kuchangia BEI NDOGO TU YA SHS. 20,000/= ili
uweze kupata nakala hii kwa njia ya mtandao popote ulipo.
Utajifunza
mengi ndani ya mwongozo huu ambayo ni pamoja na ufugaji bora,
uhudumiaji, utafutaji wa masoko, MAGONJWA kujua dalili zake, jinsi ya
kuyatibia na namna ya kuyakinga!
Kumbuka
tu kwamba, biashara yoyote unahitaji vitu vikuu vitatu au vinne: Elimu
sahihi ya biashara unayotaka kuifanya; SOKO – nani wateja wa bidhaa
zako?; Mtaji wa biashara; na Muda.
Kwa
kuwa unatumia gharama hasa katika mtaji, ni vyema ukapata elimu sahihi
pamoja na kujua namna ya kutafuta masoko, kinyume chake utakuwa unafanya
kazi ya Muhanga, mnyama ambaye kazi yake ni kuchimba mashimo halafu
anashindwa kuishi!
Epukana
na madalali wanaoweza kukupotosha ambao wao wanatafuta fursa tu ili
wapige dili hasa baada ya kukuuzia mbegu na mabanda halafu wanakuteleza.
Post a Comment
karibu kwa maoni