Maafisa wa forodha nchini Kenya
wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia wa Tanzania katika uwanja wa
kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya
thamani ya dola milioni moja, taarifa zinasema.SOURCE:BBC
Maafisa wa forodha nchini Kenya
wamemkamata mwanamume anayedaiwa kuwa raia wa Tanzania katika uwanja wa
kimataifa wa ndege wa Jomo Kenyatta, Nairobi akisafirisha dhahabu ya
thamani ya dola milioni moja, taarifa zinasema.
Post a Comment
karibu kwa maoni