Michuano ya klabu bingwa barani
Ulayani, hatua ya robo fainali inaendelea usiku wa kuamkia leo. Michezo
miwili imepigwa ambapo Barcelona wakiwa nyumbani dhidi ya As Roma
wamepata ushindi wa mabao 4-1.Katika mchezo mwingine Liverpool wao wamewachapa bila huruma vinara wa ligi kuu ya England Manchester city bao 3-0, Magoli ya Liverpool yamefungwa na Mohamed Salah, Oxlade Chamberlin pamoja na Sadio Mane.
Robo fainali nyingine ya pili itafanyika tarehe 10 mwezi April kwa michezo miwili,As Roma itacheza dhidi ya Barcelona na Manchester City itachuana na Juventus, na Aprili 11 Bayen Munich itacheza na Sevilla huku Real Madrid ikicheza na Juventus.
Post a Comment
karibu kwa maoni