0
Blog yako pendwa iliyokaribu nawe katika kukuhabarisha Leo tarehe 4/4/2017 inasherehekea Miaka miwili tangu kuanzishwa kwake.

Muungwana Blog ni Blog yenye makao yake Jijini Dar Es Salaam iliianzishwa rasmi Tarehe 4 Mezi 4 mwaka 2015.

Muungwana Blog ilianzishwa na Kumilikiwa na Rashidi Malik, Muungwana blog ina endeshwa na waandishi wa Habari 7 ambao wamebobea kwenye taaluma hii ya habari.

Sera ya Muungwana Blog  ni Kutoa habari za uhakika na zisizo fungamana na upande wowote wa kisiasa ili kutoa habari bila upendeleo na pia hata kwenye soka hatutokuwa na upande wowote wa timu ili kuendeleza uadilifu wetu kila kona.

Tunaomba muendelee kutuamini nasi tunazidi kijipanga kiutendaji ili  kuweza kuwahabarisha kama chombo cha habari kiaminifu zaidi hapa nchini.

Muungwana Blog pia ina Tv inayopatika online ingia na Subscribe kwenye youtube ( Muungwana Tv ). Pia Mungwana Blog inapatikana kwenye App kwenye Google Play Store tafuta Muungwana Blog pia utatupata katika mitandao ya kijamii Facebook Muungwana Blog. Instagram muungwanablog na Twitter @mungwanablog

Pia tunapenda kutoa shukrani zetu kwa wadau wote wanaotumia Blog Hii ya Muungwana sisi Team ya Muungwna Blog kwa pamoja tunasema tupo kwaajili yenu na tutazidi kuwapa habari zenye uhakika kila siku..


kwapamoja tunasema Asanteni Sana..

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top