Hatua hiyo ya mkuu wa wilaya inatokana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kutembelea msitu huo na kubaini uharibifu mkubwa wa msitu huo unaotokana na uvunaji holela wa magogo.
DC KITETO ASITISHA UVUNAJI WA MAGOGO MSITU WA SULEDO
Hatua hiyo ya mkuu wa wilaya inatokana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo kutembelea msitu huo na kubaini uharibifu mkubwa wa msitu huo unaotokana na uvunaji holela wa magogo.
Post a Comment
karibu kwa maoni