Jeshi la POLISI Dar es Salaam
Limefanikiwa kumkamata Halima Mdee nyumbani kwa mama yake Kibamba .
Akizungumza
Katika Habari za hivi punde Radio one,Kaimu Kamishina wa Kanda maalum Mkondya
alisema wametekeleza agizo la mkuu wa Wilaya,mara baada kuhojiwa atapelekwa
katika vyombo vya sheria.
Source:Radio one
Post a Comment
karibu kwa maoni