Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongela mara baada ya kuwasili
katika uwanja wa ndege wa Mwanza.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasalimia wanafunzi wa Sekondari mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema
vijijini wakati akielekea kuzindua mradi wa Maji.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya amani ya Mkoa wa Mwanza Sheikh Hassan
Kabeke mara baada ya kufungua mradi huo wa maji.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na viongozi wengine akifungua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha
Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa
Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali Julai 4, 2017
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mwanachama mpya wa CCM ambaye alikuwa Kada maarufu wa CHADEMA kanda ya
Ziwa Hamis Tabasamu wakati akihutubia wakazi wa Sengerema mara mara baada ya
kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani
Mwanza.
|
Post a Comment
karibu kwa maoni