TCCIA MANYARA KUFANYA MKUTANO WAO WA KUMI
Mkuu wa mkoa wa Manyara dr.Joel Nkaya Bendera
anatarajiwa kuwa mgeni wa heshima katika mkutano mkuu wa kumi wa Chama cha
wafanyabiashara,wakulima na wenye
viwanda mkoa wa Manyara [TCCIA]utakaofanyika mjini Babati siku ya jumatano ya
wiki hii.
Post a Comment
karibu kwa maoni
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.