Joseph Mbilinyi maarufu Sugu na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini, Emmanuel Masonga na kuwahukumu kifungo cha miezi mitano jela.
Hukumu hiyo imetolewa leo Februari 26,2018 na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa
mahakama hiyo, Michael Mteite,Sugu na Masonga wamehukumiwa kwa kosa la
kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Wawili hao wanadaiwa kutenda kosa hilo kwenye mkutano wa hadhara
uliofanyika Desemba 30,2017 eneo la Uwanja wa Shule ya Msingi Mwenge
jijini Mbeya.
Post a Comment
karibu kwa maoni
EmoticonClick to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.