0


Kikosi cha timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, kimetinga hatua ya kucheza fainali ya mashindano ya CECAFA nchini Burundi baaya ya kuifunga Kenya kwa mabao 2-1.

Serengeti imefanikiwa kujipatia mabao yake kupitia kwa wachezaji Jafar Juma na Kelvin Paul.

Kikosi hicho kimeungana na Somalia kucheza hatua ya fainali ya michuano hiyo itakayopigwa Aprili 28 2018.

Post a Comment

karibu kwa maoni

 
Top